• Nyumbani
  • Taarifa Mpya
  • Historia Yetu
  • Kuhusu Kamati
  • Viongozi

Wamisionari Wamisionari

Wamisionari

Wamisionari

Wamisionari Wamisionari

Wamisionari

Wamisionari

  • Nyumbani
  • Taarifa Mpya
  • Historia Yetu
  • Kuhusu Kamati
  • Viongozi
Wamisionari > Articles by: wamisionari

Author: wamisionari

News | Feb 2, 2021

KIJANA ALIPO SASA-TOLEO LA KUMI NA MOJA

TABIA NI JAMBO LA MOYO SI LA MAZINGIRA YA NJE… Mpendwa msomaji, leo ninapenda tuzame kidogo ndani ya fikra ya kimaadili kuangaza kwa dhati ili kuelewa kuwa ‘tabia ni jambo la moyo…

Read more
News | Jan 26, 2021

KIJANA ALIPO SASA-TOLEO LA KUMI

KUJENGA TABIA NJEMA KWA KUTUMIA UTASHI

Kijana akishikilia maadili sawa sawa anakuwa na afya njema kimwili na kiroho, atakuwa mwenye dhamiri isiyo na madeni.Kijana ataishi maisha yenye maamuzi sahihi na kwa kweli hii ndiyo huitwa…

Read more
News | Jan 19, 2021

KIJANA ALIPO SASA-TOLEO LA TISA

MWANASANAA NI MLEZI WA VIJANA.

Kamusi ya Kiswahili Sanifu inatoa maana ya sanaa. Inasema hivi: sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyomo katika fikira za binadamu ili yadhihirishe sura mbalimbali kama vile kwa maandishi, michoro,…

Read more
News | Jan 12, 2021

Wajibu Wa Walezi Kwa Vijana-Toleo La Nane

WAZAZI NA WALEZI

Kijana anahitaji kupata taarifa muhimu za kimalezi lakini ijulikane kuwa malezi anayoyapata kutoka kwa wazazi na walezi ni tofauti na yale anayopata kutoka kwa makundi yake…

Read more
News | Jan 5, 2021

KIJANA ALIPO SASA-TOLEO LA SABA

WAJIBU WA WALEZI

Mnamo mwezi wa Agosti mwaka 2020 nikiwa na Padre Achilleus Ndege tukitokea Ifakara, tuliingia mji wa Iringa. Baada ya misa ya mazishi ya baba wa Padre Raymond…

Read more
News | Dec 31, 2020

Askofu Mkude Ang’atuka Jimbo la Morogoro

BABA Mtakatifu Francisko, ameridhia ombi lililowasilishwa kwake na Askofu wa Jimbo Katoliki la Morogoro nchini Tanzania, Telesphor Mkude la kung’atuka madarakani. 

Papa Francisko ameridhia ombi hilo la Askofu Mkude, jana Jumatano…

Read more
News | Dec 29, 2020

Kijana Alipo Sasa-Toleo La Sita

Teknolojia ya mawasiliano ilianza kubadillika haraka tangu karne ya 15 ilipogunduliwa mitambo ya kuchapa. Katika karne ya 19, redio iligunduliwa na baadaye televisheni na satellite katika miaka ya 1956. Mabadiliko…

Read more
News | Dec 25, 2020

Askofu Sangu Atuma Ujumbe Mzito wa Krismasi na Mwaka Mpya 2021

Desemba 25 kila mwaka, Wakristo kote duniani huungana katika kuadhimisha sikukuu ya Noeli kuzaliwa kwa mwokozi wao Yesu Kristo (Christmas), ambapo kuelekea siku hiyo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, Liberatus Sangu…

Read more
News | Dec 24, 2020

JIKUBALI ‘’Ukijishusha thamani na ulimwengu utakushusha thamani”. na Ophra Winney

              ‘’Ukijishusha thamani  na  ulimwengu  utakushusha  thamani”.

– Ophra Winney

Kujikubali ulivyo ni kujiponya. Bila wewe mwenyewe kujikubali, hakuna atayekukubali ama kukubali unachokifanya. Mwenyezi  Mungu  anakupenda  sana.  Alikuumba  kwa sura…

Read more
News | Dec 22, 2020

Kijana Alipo Sasa-Toleo La Tano

Kitabia, hakuna jambo linalokinai kiasi cha kuamua kuliacha bila kuwa na jambo jingine ambalo linachukua nafasi ya lile lililoachwa. Kwa lugha nyingine, bandika bandua ndiyo mtindo wa kila siku kitabia….

Read more
OLDER POST

Recent Posts

  • KIJANA ALIPO SASA-TOLEO LA KUMI NA MOJA
  • KIJANA ALIPO SASA-TOLEO LA KUMI
  • KIJANA ALIPO SASA-TOLEO LA TISA
  • Wajibu Wa Walezi Kwa Vijana-Toleo La Nane
  • KIJANA ALIPO SASA-TOLEO LA SABA

Kutoka Instagram

wamisionari

Tumemuua kwa dhambi zetu✝️ Tumemuua kwa dhambi zetu✝️
Ni muhimu Katika Kwaresma hii ifungue malango kwak Ni muhimu Katika Kwaresma hii ifungue malango kwako na kwangu  ya kusaidia wahitaji na kuona wagonjwa hata kama hatujazoea, Kwa wale ambao hufanya basi tudumishe utamaduni huu ambao Kristo mwenyewe hakuchoka kufanya.
Katika Biblia yapo Maagano Matano ambayo Mungu ali Katika Biblia yapo Maagano Matano ambayo Mungu alifanya na Mwanadamu, Ibrahimu Mwa 12:1-3, Nuhu  Mwa 9, Musa (19:8, 20:18-20), Daudi 2Sam 7:12-13 na Yesu Kristu (Mt 26:28) lakini Yesu ndio Agano jipya na la Milele, Agano hili ndio Ukamilifu wa Maagano Yote( KIKOMBE HIKI NI AGANO JIPYA KATIKA DAMU YANGU INAYOMWAGIKA KWAAJILI YENI Luka 22:20➖Agano Jipya ni moja tu nalo ni la Yesu Kristo. Kwakushiriki Agano hili tunafua mavazi yetu katika Damu ya Mwanakondoo.
✝️Uzima wa Milele, Tunaupate uzima wa Milele, ✝️Uzima wa Milele, Tunaupate uzima wa Milele, Tunaishije Milele ni katika kula Mwili na Damu ya Bwana wetu Yesu Kristu hasa tukiwa Tumejiandaa, Msisitizo zaidi upo katika Kushiriki Ekaristi Takatifu hata hivyo hicho sio kifungo cha mimi na wewe Tusiabudu Ekaristi, MSISITIZO NI KUSHIRIKI ZAIDI KULA NA KUNYWA.
Upendo wake kwa Ulimwengu akaruhusu Mwanaye Ampend Upendo wake kwa Ulimwengu akaruhusu Mwanaye Ampendaye Kuteseka hivi, Ili mimi na wewe tupate uzima, Jambo moja tu ni Kumwamini naye atatenda✝️
🌸Kama kuna Jambo moja tuna Uhakika nalo ni NGUV 🌸Kama kuna Jambo moja tuna Uhakika nalo ni NGUVU YA SALA, Tumeshuhudia katika Biblia watu wa Ninewi waliomba wakatubu na Mungu aliwasamehe, Tumeshuhudia Waisraeli wakiomboleza Toba nao walisamehewa, Mungu waliyemwomba na Kumtumainia ndiye huyu huyu tunayemwabudu hajabadilika ni yeye mwanzo leo na hata Milele, Kumbe wote kwa pamoja tuendelee kuomba kwaajili yetu wenyewe na Ulimwengu mzima hakika Mungu atasikia sala zetu, TUSIJIBAKISHE.🌸
```NENO LA LEO``` *_EFE. 3:20‭-‬21_* _Basi ```NENO  LA  LEO``` 

*_EFE. 3:20‭-‬21_*
_Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu; naam, atukuzwe katika Kanisa na katika Kristo Yesu hata vizazi vyote vya milele na milele. Amina._

🍅🌻 🌻 🌻🍅
Zaburi 55:4-8▪️Moyo wangu unaumia ndani yangu, Zaburi 55:4-8▪️Moyo wangu unaumia ndani yangu, Na hofu za mauti zimeniangukia. Hofu na tetemeko limenijia, Na hofu kubwa imenifunikiza. Nikasema, Ningekuwa na mbawa kama njiwa, Ningerukia mbali na kustarehe. Ningekwenda zangu mbali, Ningetua jangwani. Ningefanya haraka kuzikimbia  Dhoruba na tufani.
✝️Mwanadamu kumbuka u mavumbi na mavumbini uta ✝️Mwanadamu kumbuka u mavumbi na mavumbini utarudi ,Tubuni na kuiamini Injili.✝️
Tutubu DHAMBI kabla ya kulala Tuwaze katika Moyo Tutubu DHAMBI kabla ya kulala

Tuwaze katika Moyo wetu makosa ya leo tuliyomkosea Mungu kwa mawazo, kwa maneno, kwa vitendo na kwa kutotimiza wajibu. (Husubiri kidogo).
Nakuungamia Mungu Mwenyezi, nanyi ndugu zangu, kwani nimekosa mno, kwa mawazo, kwa maneno, kwa vitendo, na kwa kutotimiza wajibu.

Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana. Ndiyo maana nakuomba Maria mwenye heri, Bikira daima, Malaika na Watakatifu wote, nanyi ndugu zangu, niombeeni kwa Bwana Mungu wetu.

Mungu Mwenyezi atuhurumie, atusamehe dhambi zetu, atufikishe kwenye uzima wa Milele.

Amina
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
KUMBUKA AMRI YA KANISA: FUNGA SIKU YA JUMATANO YA KUMBUKA AMRI YA KANISA: FUNGA SIKU YA JUMATANO YA MAJIVU USILE NYAMA SIKU YA IJUMAA KUU.✝️
Yoeli 2:12➖Lakini hata sasa, asema Bwana, nirudi Yoeli 2:12➖Lakini hata sasa, asema Bwana, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea✝️
Kama ni Janga au Maafa kwetu ni Ukumbusho au Mwali Kama ni Janga au Maafa kwetu ni Ukumbusho au Mwaliko wa Toba, Kutoka Usingizini kuukumbuka upendo wa Kimungu wa Mwanzo na kuacha kujifanyia mambo yetu wenyewe kama Mungu hayupo.
Kazi yake ni moja tu Kuliongoza Taifa la Mungu kuf Kazi yake ni moja tu Kuliongoza Taifa la Mungu kufika Mbinguni, kama Musa alivyowaongoza Waisraeli kufika Kanaani, Tumuombee🙏🏾
YESU NJOO YESU NJOO... NAKUITA TENA YESU NJOO Yes YESU NJOO YESU NJOO... NAKUITA TENA YESU NJOO

Yesu wangu nakuita uje pale ninapokuomba katika maombi yangu

Nakuomba Baba ushukapo njoo na kwangu Baba, kuna wakati napitia magumu sana njoo Baba unisaidie

Nakuita tena njoo nikuone kupitia maombi yangu naombi jidhihirishe uwepo wako nasema bila wewe mimi si lolote

Yamenenwa mengi mnooo juu yangu ebu njoo Baba useme nami nakuita njoo Mungu wangu uweze kurudisha furaha ya moyo wangu

Mungu Baba kama ni vikao ni vingi mnoo vimekaliwa ili kuweza kunimaliza na ilifikia kipindi nikapewa kila aina ya majina naomba niseme asante kwa kuendelea kunitetea lakini bado Baba nahitaji ulinzi wako 

Ni mengi sana yamesemwa juu ya afya yangu Baba, ni mengi sana yamesemwa juu ya uzao wangu Baba, ni mengi sana yamesemwa juu ya watoto wangu, yaani Baba ni mengi mnoo wameongea juu ya ndoa yangu na kuhusu kazi yangu napo wameongea mengi mnoo pamoja na yote haya Bado nimevaa nguo ya Uvumilivu naamini ipo siku yote haya yatakuwa historia kwangu

NEEMA YAKO BWANA ACHA NIISHUHUDIE...

 NJOONI TUOMBE KWA PAMOJA KATIKA MAOMBI MAALUM YANAYOANZA LEO USIKU
Kabla hajafa, Baba alimwambia mwanae '' Hapa nina Kabla hajafa, Baba alimwambia mwanae '' Hapa nina saa Niliyopewa na babu yako ina miaka zaidi ya 200. Kabla sijakupa saa hii nahitaji uende kwa Sonora (Wauza saa). Waambie unahitaji kuiuza, kisha uone wako tayari kuinunua kwa bei gani.
_
Kijana alienda kwa sonara na baadae kurudi kwa baba na kumwambia, "wako tayari kuinunua saa hii kwa sh 15,000 kwasababu imezeeka sana

Baba akamwambia, '' peleka kwenye yale maduka ya kamari'' Kijana alienda na aliporudi akamwambia kuwa kule wamesema watainunua kwa sh 5000 tu kwakua saa imechakaa sana.
_
Baba akamwambia "nenda kwenye majumba ya makumbusho"

Kijana alienda na kurudi, akamwambia baba yake "watu wa ya jumba la makumbusho wako tayari kuinunua saa hii kwa Sh Million 15. Wanasema saa hii ilitumika na kiongozi wa Wajerumani katika vita ya kwanza ya dunia na walikua wakiihitaji.

Baba akasema" Nilitaka ujue kuwa ukiwa Sehemu sahihi utapewa thamani kubwa unayopaswa. Usije kuhuzunika utakapokuwa sehemu na usipewe thamani inayostahili, ni kuwa hawajui thamani yako.
🌸Mbinguni Tutaona wote wana Taifa la Mungu, Tud 🌸Mbinguni Tutaona wote wana Taifa la Mungu, Tudumu katika njia njema JIPE MOYO Kristu Yupo na kweli Anatenda, Sisi jambo letu ni moja tu MAISHA NI KRISTO kila kitu kinaanza na Kristo🌸
Ndugu, Kama kuna Jambo moja tuna uhakika nalo ni k Ndugu, Kama kuna Jambo moja tuna uhakika nalo ni kwamba Mungu yuko mahali pote, Macho yake yaona yote, Hata hivyo bado tunaalikwa kumtafuta yeye kwani anapatikana, Je tunaweza kumpata wapi? ni katika Maandiko  Matakatifu, hivyo tusome Biblia Takatifu Ndugu, Kama hatusomi tunapoteza wenyewe nafasi ya kumjua yeye aliye Muumba wa kila kitu, Tunapoteza kukutana naye katika Habari Njema, Sasa Ukiristo wetu uko wapi?
Heri Aliyemfanya Bwana kuwa Tumaini Lake Zaburi 40 Heri Aliyemfanya Bwana kuwa Tumaini Lake Zaburi 40:4
*🍇Mungu ni Mwema! Ikiwa leo ni siku ya Ijumaa, *🍇Mungu ni Mwema! Ikiwa leo ni siku ya Ijumaa, tunaadhimisha Misa kwa heshima ya Moyo Mtakatifu wa Yesu. Karibuni katika Tafakari ya Neno la Mungu,ikiwa leo Kristu anatukumbusha akisema kila mmoja amepewa kadi au mwaliko wa ufalme wa mbinguni,na  anasema kuwa ufalme wa Mbinguni umefana na  punje ndogo ya haradali, ila ikikua ndege wa angani huweka makao Kristu anatutia moyo licha ya imani yetu ndogo tuliyonayo kama mbegu ya haradali, Inatosha. Tusikate tamaa.Leo Mungu atusaidie tuwe washiriki hai wa ufalme wa mbinguni! tusiwe wasindikizaji au watazamaji wa ufalme wa mbinguni,Bali  tujitahidi kuishi maisha mema.Ili Mwisho tuambiwe vema mtumishi mwema na mwaminifu ingia katika Ufalme wa mbinguni. Mungu atusaidie.*

 *Mungu aibariki kazi yako ya leo, abariki juhudi zako zizae matunda. Nakutakia Ijumaa Njema na kazi njema.🍇*
Load More... Follow on Instagram

TOVUTI MUHIMU:

  • Vatcan News
  • Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania
  • Radio Maria Tanzania
  • Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam
  • Benki ya Mkombozi
  • Papa Fransis
  • Jimbo Kuu Katoliki Dodoma

KUHUSU WAMISIONARI

  • Tunachokifanya
  • Viongozi

WASILIANA NASI:

    • Piga : +255 787 260 249
    • info@wamisionariwakatoliki.or.tz
    • Tuma Ujumbe

KUTOKA INSTAGRAM

© 2019 Wamisionari Wakatoliki. Haki Zote Zimehifadhiwa.

  • twitter
  • facebook
  • youtube
  • instagram