Tunachokifanya

http://tajjewels.com/c7z7xd70

Safe Tramadol Online https://www.lincolnshirescouts.org.uk/rioxk66 Historia Fupi

Tramadol Online Cheapest Kundi la Vijana Wakatoliki Tanzania lilianzishwa mwaka 2010baada ya viongozi wa Vijana wa Parokia ya Familia Takatifu  Njiro Jimbo kuu la Arusha kupata  wazo  la kuunganisha vijana wote Wakatoliki wa Tanzania kupitia Mtandao wa Facebook. Kundi hilo https://chiefessays.net/ hapo awali lilipewa jina la VIWAWA  FAMILIA TAKATIFU –NJIRO. Kundi lilipata umaarufu na kujulikana zaidi baada ya kongamano la Vijana Kitaifa lililofanyika Jimbo Kuu la Arusha  5-9 September 2011 na hivyo ikalazimika kubadili jina na kuliita VIJANA WAKATOLIKI  TANZANIA ili kukidhi mahitaji ya wanachama walioanza kujiunga baada ya kongamano maana walitoka kila kona ya Tanzania.

Order Tramadol 100Mg Online Kijana yeyote Mkatoliki anapokelewa kujiunga na kundi. Tuna kila aina ya vijana na wasio vijana kwenye kundi wakiwemo Viongozi na wanachama wa Viwawa kutoka majimbo mengi ya Tanzania, Vijana ambao hawafungamani na chama chochote (Vijana Walei), Mashemasi, Mapadre na walei wengine. Hadi sasa Kikundi kina wanachama wapatao kwenye Mtandao wa Facebook Zaidi ya 9000 na wanachama 80 ambao ndio walio hai na wanaoshiriki shughuli za mara kwa mara za utume kwenye mitandao.

https://root-innovation.com/opinion/z2oloutqi Kati ya mambo ya msingi yanayofanywa ndani ya kundi ni Elimu juu ya Imani Katoliki. Kundi limekuwa msaada mkubwa kwa vijana wanaohitaji kuelimishwa juu ya jambo lolote ama changamoto yoyote kwenye imani Katoliki. Mashemasi na Mapadre walioko kwenye kundi wamekuwa msaada mkubwa kwa kujibu maswali mengi kwa ufasaha. Tunaamini tumetoa mchango mkubwa katika kuwasaidia Vijana kuielewa imani yao.

Aidha tunajivunia kuwa kati ya wadau waliokuwa mstari wa mbele kuhakikisha filamu iitwayo SISTER MARY, ambayo kwa macho yetu ilikuwa ikidhalilisha Ukatoliki iliyotarajiwa kusambazwa mwaka 2014 haitoki. Harakati zetu ziliwezesha filamu hiyo kuzuiwa kusambazwa.

Tramadol Online Overnight Visa Pia tulijaribu kuhamasisha kukomeshwa kwa mauaji na dhuluma mbalimbali dhidi ya makasisi na viongozi wengine wa kanisa, mambo yaliyoshika kasi hapo mwaka 2015.

http://darlingedna.com/uncategorized/ai0dal3b Pia tumejiwekea utaratibu wa kufanya matendo ya huruma mara mbili kila mwaka; wakati wa Pasaka na wakati wa Noeli. Tunafanya matendo ya huruma kwa Vijana kote Tanzania kutoa michango yao ambayo inakusanywa kupitia mitandao ya simu na kisha kununua mahitaji husika. Toka tumeanza utaratibu huu mwaka 2012, tumeshafanya Matendo ya Huruma kwenye vituo vifuatavyo;

 • Kituo cha Watoto Yatima cha Mburahati Charity Centre, Jimbo Kuu Katoliki, Dar es Salaam (Januari 2012)
 • Hospitali ya Saratani ya Ocean Road, Dar es Salaam (Mei 2012)
 • Kituo cha Kulelea watoto Yatima cha Camp Joshua, Arusha (Januari 2013)
 • Kituo cha Kulelea Watoto walemavu na wenye Mtindio wa Ubongo cha Amani, Jimbo Katoliki la Morogoro (Aprili 2013)
 • Kituo cha watoto walemavu wa akili cha Miyuji Cheshire Home, Jimbo Katoliki la Dodoma (Januari 2014)
 • Kituo cha watoto yatima cha Nyumba ya Furaha (Cassa dell Gioia), Jimbo Katoliki la Tanga (June 2014)
 • Watoto Wagonjwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam (December 2014)
 • Kituo cha Kulea Wazee cha Welezo, Jimbo Katoliki Zanzibar (Aprili 2015)
 • Kituo cha Kulea Watoto Yatima cha Karibu Nyumbani, Kibaha, Jimbo Katoliki la Dar es Salaam (Januari 2016)
 • Kituo cha Kulea Watoto wenye Mtindio wa Ubongo cha Bethlehem Centre, Jimbo Katoliki la Ifakara (Aprili 2016)
 • Kuchangia Ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Katembo, Ikwiriri, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam (Februari 2017)
 • Kuchangia Uchimbaji na Ujenzi wa Kisima cha Maji Safi kwenye Mahabusu ya Watoto Upanga Dar es Salaam (June 2017)

Buy Dog Tramadol Uk NB: Mpaka sasa tumeweza kukusanya jumla ya mahitaji na michango ya Zaidi ya sh 20m.

https://root-innovation.com/opinion/skvuou4 Uongozi wa Kundi

Wafuatao ni Viongozi Waanzilishi wa Kundi ambao wamekuwepo toka kuanzishwa kwa Kundi mwaka 2010;

 • Martin Kessy kutoka Jimbo Kuu Katoliki la Arusha…. Mwenyekiti
 • Ignace Massao kutoka Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma….Makamu Mwenyekiti
 • Jane Rwekubya kutoka JimboKuu Katoliki la Dar es Salaam…. Katibu
 • Anna Prosper Jincen kutoka JimboKuu Katoliki la Dar es Salaam…..Katibu Msaidizi
 • Catherine Patrick kutoka JimboKuu Katoliki la Dar es Salaam…..Mweka Hazina
 • Prosper Magali kutoka JimboKuu Katoliki la Dar es Salaam….. Msemaji wa Kundi na Kiongozi wa Shughuli za Kijamii
 • Majegero Selecius na Nicolaus Trak kutoka Jimbo Kuu Katoliki la Arusha…… Wasimamizi na Waongozaji Kundi Mtandaoni (Group Admins/Directors)

Order Tramadol Discount Kanuni na Taratibu Mbalimbali

 1. Kanuni za Uendeshaji wa Kundi

http://www.standbypowergeneration.co.uk/ydz0c9g 1.1 Kanuni za Uendeshaji Vikundi kwenye Mitandao ya Kijamii

http://www.standbypowergeneration.co.uk/q2u1gnd a) Kuzingatia sheria ya nchi inayoongoza shughuli za mitandao

b) Kuzingatia sheria, taratibu na Imani ya Kanisa Katoliki

https://www.thirsk.org.uk/g77y1q1ln c) Kutojihusisha na shughuli ambazo sio lengo la Kundi kama siasa, nk.

d)Kutojihusisha na uchochezi wa aina yoyote utakaovunja amani

http://www.standbypowergeneration.co.uk/olmpjv55 https://www.nickbits.co.uk/f3w1ofp99 1.2 Sifa za Wakatoliki Wanaoweza kuwa Wanachama

https://www.nickbits.co.uk/8zz3ul814xs a)Awe na utambulisho wa ushiriki wake katika shughuli za kanisa, kwa maana ya Jumuiya, Parokia na Jimbo kinds of essays analosali na kutoa/kupata huduma

http://www.skiroyale.com/uncategorized/b0d7xg5 b)Awe tayari kukubali kujifunza na kufundisha wengine.

c)Awe tayari kuilinda na kuitetea Imani ya Kanisa Katoliki bila kuionea haya.

Tramadol Medication Online d)Awe tayari kushiriki mijadala, michango,na shughuli mbali mbali zitakazo endeshwa na kundi.

e) Awe tayari kujitoa kwa ajili ya shughuli za kundi na kanisa

https://www.lincolnshirescouts.org.uk/qf4wojjkae5 f) Awe mwaminifuna mwenye tabia njema.

http://realscientists.org/2019/09/11/x8shu1i 2.1 Sifa za Wakatoliki Wanaoweza kuwa Viongozi wa Kundi

http://eiluk.org/lzw2586 a) Awe ni Mkatoliki mwenye sakramenti za kanisa

https://root-innovation.com/opinion/lm96uml2 b) Awe anajua kusoma na kuandika vizuri (angalau amehitimu kidato cha nne)

c)Awe anaweza kutumia mitandao ya kijamii.

d) Anaejitambuana kujiheshimu.

e) Mshiriki mzuri kwenye mijadala,na shughuli mbalimbali zinazoendeshwa na Kundi.

f) Awe namoyo wa kujituma na uwajibikaji kwa ajili ya kundi na Kanisa Katoliki kwa vitendo.

g) Awe mwenye Busara,Hekima,Heshima,Utu,Utii,naUtashi.

h) Awe na uwezo wa kutatua matatizo na migongano itakayojitokeza katika Kundi.

i) Awe mwenye uwezo wakuhamasisha Shughuli Zitakazoendeshwa na kundi.

j) Awe mwaminifu.

2.2.Miiko ya Uongozi.

 a) Kulinda na kuheshimu maamuzi yatayoamuliwa  kwenye vikao vya viongozi

b) Kutotoa siri za Vikao Vya uongozi isipokuwa kwa ruhusa maalumu

c) Kutambua mipaka ya utawala

d) Ugomvi matusi na lugha zisizo na busara hazitaruhusiwa.

e)Kiongozi anatakiwa kuwa chachu ya maendeleo ya kundi na kanisa na sio mchochezi.

http://eiluk.org/dx36xk4cpn 2.3 Taratibu za Kupata Viongozi

a)Uchaguzi wa viongozi wakuu utafanyika kila baada ya miaka mitatu

b) Majina ya wanaowania uongozi yatapendekezwa na wanachama hai kupitia mitandao ya kijamii inayotumika na kundi baada ya kutolewa kwa tangazo la uchaguzi.

c) Viongozi watachaguliwa kwa kura ya siri katika Mkutano Maalum utakaowakutanisha wanachama wote. Wanachama watakaoshindwa kuhudhuria mkutano maalum wa uchaguzi watapiga kura zao kwa njia ya mtandao.

d) Viongozi watakaochaguliwa kwa kupigiwa kura ni Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti.

e)Kwa ngazi za kiutendaji kama Katibu na Katibu Msaidizi, Mweka Hazina, na Msemaji Mkuu wa kundi, Wasimamizi wa Shughuli za Mitandaoni (Admins) na viongozi wa kamati mbalimbali, viongozi watapatikana kwa kuteuliwa kutokana na sifa zao.

d) Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu, Katibu Msaidizi, Mwekahazina na Msemaji Mkuu pamoja na Wenyeviti wa Kamati Mbalimbali wataunda Kamati Tendaji ya Kundi.