Katiba ya Tanzania inavyoeleza baada ya Rais kufariki dunia
Baada ya Rais wa Tanzania John Magufuli kufariki dunia, hakuna uchaguzi mwingine unaofanyika badala yake, Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ataapishwa kuwa Rais...
Papa Francisko: Injili ya Msamaria Mwema: Sala, Sadaka na Matendo ya Huruma!
Wajitahidi kujichotea nguvu katika sala, kwa ajili ya huduma kwa maskini na watu ambao wamejeruhiwa na wanabeba mwilini mwao madonda makubwa.. Wanachama wa upendo...
Juma Kuu: Jumapili ya Matawi: Shangwe na Mateso ya Yesu
Kwa adhimisho la dominika hii ya Matawi tunaingia katika Juma Kuu ambamo ndani yake tunaadhimisha mafumbo makuu ya ukombozi wetu. Mfungo wetu wa Kwaresima,...
Vatcan: Makardinali wapya 21 wasimikwa wakiwemo 3 kutoka Afrika
Viongozi wa Kikatoliki cheo cha Makardinali 21 wamesimikwa na Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis.
Makardinali wapya hao wamesimikwa rasmi katika mkutano wa kawaida...
Papa Francis asisitiza kwamba serikali za Ulaya lazima zifanye zaidi kuwahudumia wahamiaji
Akifunga mkutano wa maaskofu na vijana kutoka eneo kuzunguka bahari ya Mediterania katika mji wa bandari wa Ufaransa wa Marseille, aliongeza kuwa uhamiaji ni...
Papa Francis awataka Wakatoliki China kuwa wakristo wema
Francis alitoa maoni hayo ambayo hayakuwa yameandikwa katika hotuba yake mwishoni mwa Misa katika mji mkuu wa Mongolia, akiwaita maaskofu wakuu wa zamani na...
Wamisionari Waungana na Watoto wa Kituo Cha Mt.Felix
Asanteni sana wamisionari wote mliogusa na kupeleka tabasamu kwa watoto wa kituo Cha Mt.Felix-Ilula Iringa
Mjaliwe baraka tele ziwapasazo Wana MUNGU
Papa mstaafu Benedict XVI afariki dunia
Papa Mstaafu Benedict XVI, ambaye aliongoza Kanisa Katoliki kwa takriban miaka minane kabla ya kuwa Papa wa kwanza kujiuzulu katika miaka 600, alifariki Jumamosi...
Papa Francisko akutana na Rais wa Évariste Ndayishimiye,wa Burundi
Na Angella Rwezaula – Vatican.
Jumamosi tarehe 26 Machi 2022, Baba Mtakatifu Francisko amekutana katika Jumba la Kitume la Rais wa Jamhuri ya Burundi Bwana...
FEATURED
MOST POPULAR
Wagonjwa wa Corona Nchini Wafikia Watatu – Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi 18, 2020 ametangaza ongezeko la wagonjwa wawili wa virusi vya corona Tanzania mmoja amekutwa Zanzibar na mmoja Dar...
LATEST REVIEWS
Kanisa la Afrika kuadhimisha Siku ya Secam tarehe 2 Agosti!
Siku ya Secam inataka iwe fursa kwa ajili ya wakatoliki wa Afrika ili wajue shirikisho hili na utume wake kwa Kanisa mahalia na la...
No.2 (Namna nyingine yakutafakari masomo ya leo) ASALI MUBASHARA – Jumatatu...
Karibuni sana wapendwa wa Bwana kwa adhimisho la misa takatifu asubuhi ya leo. –Neno la Bwana katika somo la kwanza, tunasikia habari za Mfalme...