LATEST ARTICLES

Jimbo kuu la Songea Lafanya Jubilei ya miaka 125 ya Uinjilisti

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 01, 2023 amewasili katika Parokia ya Peramiho, jimbo kuu la Songea ambapo atashiriki katika Jubilei ya miaka 125...

Vatcan: Makardinali wapya 21 wasimikwa wakiwemo 3 kutoka Afrika

0
Viongozi wa Kikatoliki cheo cha Makardinali 21 wamesimikwa na Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis. Makardinali wapya hao wamesimikwa rasmi katika mkutano wa kawaida...

Papa Francis asisitiza kwamba serikali za Ulaya lazima zifanye zaidi kuwahudumia...

0
Akifunga mkutano wa maaskofu na vijana kutoka eneo kuzunguka bahari ya Mediterania katika mji wa bandari wa Ufaransa wa Marseille, aliongeza kuwa uhamiaji ni...

Papa Francis awataka Wakatoliki China kuwa wakristo wema

0
  Francis alitoa maoni hayo ambayo hayakuwa yameandikwa katika hotuba yake mwishoni mwa Misa katika mji mkuu wa Mongolia, akiwaita maaskofu wakuu wa zamani na...

Papa Francis aelezea kusikitishwa na idadi kubwa ya wahamiaji wanaofia kwenye...

0
  Mkuu wa kanisa katoliki Papa Francis amesema Jumapili kwamba idadi ya wahamiaji wanaofia kwenye bahari ya Mediterranean ni ”jeraha la wazi”, kwa ubinadamu baada...

Papa Francis akutana na waathirika wa unyanyasaji wa kingono katika mkutano...

0
Papa Francis Jumatano alisema kanisa katoliki linahitaji “kujitakasa kwa unyenyekevu na kwa muda mrefu” ili kukabiliana na “kilio cha uchungu” cha waathirika wa unyanyasaji...

Papa asema ahofia matukio ya moto nchini Ugiriki

0
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis leo ameeleza wasiwasi juu ya matukio ya moto inayoikumba Ugiriki na mataifa mengine duniani. Kiongozi huyo wa Kanisa...

Papa Francis arejelea majukumu yake baada ya kufanyiwa upasuaji

0
  Siku mbili baada ya kuondoka hospitalini, kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki, Papa Francis alianza tena desturi yake adhimu ya Jumapili, ya kusalimia umma katika...

Papa Francis, 86, kufanyiwa upasuaji wa tumbo

0
Papa Francis atafanyiwa upasuaji wa tumbo lake Jumatano alasiri katika hospitali ya Gemelli ya Roma. Anatarajiwa kukaa hospitalini kwa "siku kadhaa" ili kupata nafuu kutokana...

Zelensky yuko Roma kukutana na Papa Francis

0
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky yuko Roma ambapo anakutana na viongozi wa kisiasa na amekutana na Papa Francis. "Ziara muhimu kwa ushindi unaokaribia wa Ukraine!"...