LATEST ARTICLES

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 01, 2023 amewasili katika Parokia ya Peramiho, jimbo kuu la Songea ambapo atashiriki katika Jubilei ya miaka 125 ya Uinjilisti katika Jimbo hilo.
Viongozi wa Kikatoliki cheo cha Makardinali 21 wamesimikwa na Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis. Makardinali wapya hao wamesimikwa rasmi katika mkutano wa kawaida wa Baraza la Makardinali unaofanyika Jumamosi Septemba 30 mjini Vatican. Mnamo tarehe 9 Julai 2023 Baba...
Akifunga mkutano wa maaskofu na vijana kutoka eneo kuzunguka bahari ya Mediterania katika mji wa bandari wa Ufaransa wa Marseille, aliongeza kuwa uhamiaji ni hali halisi ya nyakati zetu Papa Francis siku ya Jumamosi alisisitiza ujumbe wake kwamba serikali za...
  Francis alitoa maoni hayo ambayo hayakuwa yameandikwa katika hotuba yake mwishoni mwa Misa katika mji mkuu wa Mongolia, akiwaita maaskofu wakuu wa zamani na wa sasa wa Hong Kong, Papa Francis alituma salamu kwa China siku ya Jumapili, akiwaita raia...
  Mkuu wa kanisa katoliki Papa Francis amesema Jumapili kwamba idadi ya wahamiaji wanaofia kwenye bahari ya Mediterranean ni ”jeraha la wazi”, kwa ubinadamu baada ya wiki nzima iliyogubikwa na mfululizo wa ajali za boti. Katika ibada ya kila wiki ya...
Papa Francis Jumatano alisema kanisa katoliki linahitaji “kujitakasa kwa unyenyekevu na kwa muda mrefu” ili kukabiliana na “kilio cha uchungu” cha waathirika wa unyanyasaji wa kingono waliotendewa na makasisi. Alikutana na waathirika hao kwa faragha jana Jumatano katika siku ya...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis leo ameeleza wasiwasi juu ya matukio ya moto inayoikumba Ugiriki na mataifa mengine duniani. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis aidha amewahimiza watu kuongeza juhudi za kuitunza dunia. Kupitia ujumbe uliotumwa na...
  Siku mbili baada ya kuondoka hospitalini, kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki, Papa Francis alianza tena desturi yake adhimu ya Jumapili, ya kusalimia umma katika uwanja wa St. Peters. Alianzia kwa kuonekana dirishani akisema kwamba ukaribu wa kibinadamu na wa kiroho...
Papa Francis atafanyiwa upasuaji wa tumbo lake Jumatano alasiri katika hospitali ya Gemelli ya Roma. Anatarajiwa kukaa hospitalini kwa "siku kadhaa" ili kupata nafuu kutokana na upasuaji wa mishipa iliyovimba au ngiri, Vatican imesema. Tatizo hilo "linasababisha maumivu makali sana ya...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky yuko Roma ambapo anakutana na viongozi wa kisiasa na amekutana na Papa Francis. "Ziara muhimu kwa ushindi unaokaribia wa Ukraine!" Zelensky aliandika kwenye mtandao wake wa twitter alipotua katika mji mkuu wa Italia. Atakutana pia na...