Msingi Yanayofanywa Ndani ya Kundi
Kundi limekuwa msaada mkubwa kwa vijana wanaohitaji kuelimishwa
juu ya jambo lolote ama changamoto yoyote kwenye imani Katoliki. Mashemasi
na Mapadre walioko kwenye kundi wamekuwa msaada mkubwa kwa kujibu
maswali mengi kwa ufasaha.