Wamisionari Katoriki Mtandaoni

Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni Jimbo Katoliki la MOROGORO wafanya Misa ya shukrani

Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni Jimbo Katoliki la MOROGORO wafanya Misa ya shukrani

  Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni Jimbo Katoliki la MOROGORO wafanya Misa ya shukrani kwa lengo la kumshukuru MUNGU kwa kutuwezesha kwenda mbeya salama,kufanya matendo ya huruma katika gereza la mbozi na kurudi nyumbani salama. Misa takatifu imeongozwa na padre SEBASTIAN PALAKUDY, tunamshukuru Sana Sana Kwa homilia yake nzuri ,Hakika tunapata nguvu ya kusonga mbele

Wamisionari Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma wafanya Misa ya shukrani

Wamisionari Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma wafanya Misa ya shukrani

  Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma wamefanya  Misa ya shukrani kwa lengo la kumshukuru MUNGU kwa kuwawezesha kwenda Mbeya salama, kufanya matendo ya huruma katika Gereza la Mbozi na kurudi nyumbani salama. Misa takatifu imeongozwa na Padre, Paul Mhindi pamoja na Padre, Edward Ijengo Pia Wamisionari wamechangia mifuko 8 ya simenti kuchangiaRead more about Wamisionari Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma wafanya Misa ya shukrani[…]

UJUMBE WA PAPA FRANCISKO KWA WAMISIONARI WA MITANDAONI!

UJUMBE WA PAPA FRANCISKO KWA WAMISIONARI WA MITANDAONI!

Papa Francisko katika ujumbe wake kwa wamisionari wa mitandaoni imision, anawataka kuwa mashuhuda wa Habari Njema ya Wokovu!  Kunako mwaka 2012 kulianzishwa kundi la watumiaji wa mitandao nchini Hispania, linalopania kusaidia mchakato wa uinjilishaji katika ulimwengu wa kidigitali, kundi hili likapewa jina “iMission”. Huu ni mtandao wa kimisionari unaowasaidia wamisionari kutoka sehemu mbali mbali zaRead more about UJUMBE WA PAPA FRANCISKO KWA WAMISIONARI WA MITANDAONI![…]

MATENDO YA HURUMA GEREZA LA MBOZI MBEYA JUNI 7, 2019

MATENDO YA HURUMA GEREZA LA MBOZI MBEYA JUNI 7, 2019

WAMISIONARI WAKATOLIKI MTANDAONI tumefanya matendo ya huruma yaliyofanyika katika Gereza la Mbozi jijini Mbeya Juni 7, 2019. Ni kawaida ya Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni kufanya matendo ya huruma sehemu mbalimbali ndani ya Tanzania baada ya kukusanya michango kwa Wamisionari ambayo inakusanywa kupitia mitandao ya simu na kisha kununua mahitaji husika. Kwa upande wa Wamisionari Wakatoliki MtandaoniRead more about MATENDO YA HURUMA GEREZA LA MBOZI MBEYA JUNI 7, 2019[…]

PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO YA MATENDO YA HURUMA MBEYA

PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO YA MATENDO YA HURUMA MBEYA

Pamoja na hayo uongozi wa wamisionari walikabidhi baadhi ya Zawadi kwa 1.Mhashamu Baba Askofu 2.Zawadi za wakuu wa Gereza 3.Zawadi kwa baadhi ya Mapadre wa Jimbo kuu Katoliki la Mbeya. Katika Safari hii Tulipewa baraka zote na Mhashamu Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya. Askofu Gervas Nyaisonga. Na kuwashukuru na kuwapongeza Wamisionari wakatoliki MtandaoniRead more about PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO YA MATENDO YA HURUMA MBEYA[…]

Vituo Tulivyofanya Matendo ya Huruma

Vituo Tulivyofanya Matendo ya Huruma

Tunafanya matendo ya huruma kwa Vijana kote Tanzania kutoa michango yao ambayo inakusanywa kupitia mitandao ya simu na kisha kununua mahitaji husika. Toka tumeanza utaratibu huu mwaka 2012, tumeshafanya Matendo ya Huruma kwenye vituo vifuatavyo; Kituo cha Watoto Yatima cha Mburahati Charity Centre, Jimbo Kuu Katoliki, Dar es Salaam (Januari 2012) Hospitali ya Saratani yaRead more about Vituo Tulivyofanya Matendo ya Huruma[…]

Historia Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni

Historia Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni

Kundi la Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni (Zamani tulijulikana kama Vijana Wakatoliki Tanzania) lilianzishwa mwaka 2010 baada ya Kongamano la Vijana lililofanyika Arusha. Viongozi wa Viwawa Parokia ya Njiro, Arusha ndio waliopata wazo hili la kuunganisha Vijana wote Wakatoliki wa Tanzania kupitia mtandao wa Facebook. Wakatoliki wote na hasa vijana wanapokelewa kujiunga na kundi. Kundi letu halifungamaniRead more about Historia Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni[…]

Wamisionari Wakatoliki mtandaoni

Jaza fomu hii ili kuwa mshirika wa Wamisionari Wakatoliki TanzaniaX
Jisajili Hapa