WAMISIONARI WAKATOLIKI MTANDAONI – TAIFA. WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA ALIEKUWA KATIBU WA WAMISIONARI JIMBO LA SHINYANGA STEPHANIA LUYENGA KILICHOTOKEA HUKOHUKO SHINYANGA. MAZISHI NA TARATIBU ZINGINE TUTAWATANGAZIA,
“RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA, NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE. APUMZIKE KWA AMANI. AMINA??