Msafara uliyobeba mwili wa Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa tano wa Tanzania, ukielekea kanisani St. Peter’s Oysterbay kwa ibada takatifu.