Home News Wamisionari Dar Wamtembelea Paroko wa Mji Mwema, Kigamboni News Wamisionari Dar Wamtembelea Paroko wa Mji Mwema, Kigamboni September 19, 2020 Facebook Twitter Pinterest WhatsApp Linkedin Viongozi wa Wamisionari Jimbo kuu Katoliki la Dar es salaam leo Septemba 19, 2020 wamemtembelea Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Marko Mwinjili mji mwema Kigamboni. Baba paroko anawasalimu Sana wamisionari wote