Tumsifu Yesu Kristu Wapendwa.
Shughuli Zote zimeruhusiwa kuendelea na sasa ni Muda wa kuendelea na Uhamasishaji wa kongamano letu la miaka 10 ya Wamisionari wakatoliki Mtandaoni huko Dodoma, Tuchangamke Kuhamasisha, Kuhimiza michango, ili mambo mengine yaanze kufanyiwa malipo,
Hakuna Corona Tanzania magonjwa mengine tu yapo. Tuendelee tu kuchukua Tahadhali, Niwaombe Tushirikiane Kuhamasisha tusipo fanya hivyo kwa Muda uliobaki Sherehe mjini Dodoma itakuwa Hadithi.
Bali Tuendelee sasa na utaratibu wote unaotakiwa kwa maandalizi ya Dodoma mwezi Nov 11 – 14. 2020.
Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni
Dodoma Kucheleeeeeeeeee! :clap:?:clap:?:clap:?:clap:?:clap:?:clap:?:clap:?:clap:?:clap:?
Tuamshe sasa safari ya Dodoma ni Nov 2020 Bila Kukosa.