Kama tulivyokubaliana kwenye kikao cha tarehe 07/12/2019 kilichofanyika Same kuwa mwaka huu tutafanya Annivesary yetu ya miaka 10.
Kamati kuu pamoja na Halmashauri kuu ya Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni imeunda kamati ya watu 35 ambao wataratibu tukio hili kubwa.Tukio hili litafanyikia Jimbo kuu la Dodoma, Novemba 2020. Kamati hii ya maandalizi watapewa hadidu za rejea na kamati kuu kwa lengo la kufanikisha sherehe hii
Yafuatayo Majina Ya Walioteuliwa kuunda Kamati.
*1.Majegero Selecius – Arusha…Mwenyekiti*
2.Hellen Chituruko – Dodoma
3.Filbert Bagenda – Dodoma
4.P. Asia mdemu – Dodoma
5.Albert Byelengo – Morogoro
*6.Catheline Lacha – DSM…Mweka hazina*
7.Brighton Balozi – DSM
8.Juliun Mosha – DSM
9. Method Pesha – Shinyanga
10.Estarsia Mlawa – Moshi
11.William Bhoke – Bunda
12.Jacob Mhagama – DSM
13.Jane Mwenda -DSM
14.Josephine Kajembe DSM
*15.Jostine Nyangala – Iringa……Katibu*
16.Pauline Raphael – Mbeya
17.Angel Asenga – Mwanza
18.Salvina Kyaduma – Tanga
19.Stephania Luyenga – Shinyang
20.Josephine – Shinyanga
21.Anitha Mwoleka – Shinyanga
22.James Wumbura- Arusha
23.Alfred Lupogo – Ifakara
24.Veritus Nderumaki – Shinyanga
25.Renatus Madili – Arusha
26. *Fr Pascal Mwadende- Mbeya*
27. *Fr Prosper Kessy – DSM*
28. *Fr Rogasian Msafiri – DSM*
29 Godfrey Asenga – Same
30.Lazaro Arangare – Arusha.
31. *Fr Muhindi – Dodoma*
32.Jane Rwekyuba – DSM
33. Nelson Mandela – Arusha
34.Crytus Kabete – Shinyanga
35.Festo Hiza DSM
Tunawatakia kila la kheri kamati kufanikisha tukio hili kubwa:pray:?:pray:?
Kwa tukio hili natangaza rasmi sasa kamati ya maandalizi ya Annivesary imezinduliwa.