1) Kuwa wawikilishi wa wamisionari wakatoliki mtandaoni kwenye majimbo
2)Kuratibu maswala yote ya umisionari kwenye majimbo
3)Kuhamasisha na kuimarisha ustawi wa wamisiinari majimboni kwa kutembelea makanisani,shuleni,nk kwa lengo la kuimarisha umisionari
4) Kuhamasisha shughuli za matendo ya huruma majimboni kwa kushirikiana na kamati ya kuratibu matendo ya huruma
5) Kuwa wasemaji wa kundi kwenye sherehe au mialiko mbalimbali wamisionari watakapo alikwa
6) Kupokea taarifa za kimisionari Taifa na kuziwakilisha kwenye jimbo lake
7) Kutoa taarifa za majimbo kwenye vikao vya halmashauri kuu
8) Kutoa taarifa kwa msimamizi wa jimbo na msimamizi kuwakilisha kwa kamati kuu kwa shughuli yoyote inayohusu umisionari kwenye jimbo kabla haijafanyika
9) Kushiriki kwenye majadiliano ya halmashauri kui pale kikao kitakapoitishwa eidha kwa njia ya simu au mkutano rasmi