Wamisionari Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma wafanya Misa ya shukrani

 

Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma wamefanya  Misa ya shukrani kwa lengo la kumshukuru MUNGU kwa kuwawezesha kwenda Mbeya salama, kufanya matendo ya huruma katika Gereza la Mbozi na kurudi nyumbani salama.

Misa takatifu imeongozwa na Padre, Paul Mhindi pamoja na Padre, Edward Ijengo

Pia Wamisionari wamechangia mifuko 8 ya simenti kuchangia ujenzi wa Kanisa katika kituo cha vijana Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *