Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni Jimbo Katoliki la MOROGORO wafanya Misa ya shukrani kwa lengo la kumshukuru MUNGU kwa kutuwezesha kwenda mbeya salama,kufanya matendo ya huruma katika gereza la mbozi na kurudi nyumbani salama.

Misa takatifu imeongozwa na padre SEBASTIAN PALAKUDY, tunamshukuru Sana Sana Kwa homilia yake nzuri ,Hakika tunapata nguvu ya kusonga mbele