Wamisionari Katoriki Mtandaoni

Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni Jimbo Katoliki la MOROGORO wafanya Misa ya shukrani

Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni Jimbo Katoliki la MOROGORO wafanya Misa ya shukrani

  Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni Jimbo Katoliki la MOROGORO wafanya Misa ya shukrani kwa lengo la kumshukuru MUNGU kwa kutuwezesha kwenda mbeya salama,kufanya matendo ya huruma katika gereza la mbozi na kurudi nyumbani salama. Misa takatifu imeongozwa na padre SEBASTIAN PALAKUDY, tunamshukuru Sana Sana Kwa homilia yake nzuri ,Hakika tunapata nguvu ya kusonga mbele

Wamisionari Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma wafanya Misa ya shukrani

Wamisionari Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma wafanya Misa ya shukrani

  Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma wamefanya¬† Misa ya shukrani kwa lengo la kumshukuru MUNGU kwa kuwawezesha kwenda Mbeya salama, kufanya matendo ya huruma katika Gereza la Mbozi na kurudi nyumbani salama. Misa takatifu imeongozwa na Padre, Paul Mhindi pamoja na Padre, Edward Ijengo Pia Wamisionari wamechangia mifuko 8 ya simenti kuchangiaRead more about Wamisionari Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma wafanya Misa ya shukrani[…]

Wamisionari Wakatoliki mtandaoni

Jaza fomu hii ili kuwa mshirika wa Wamisionari Wakatoliki TanzaniaX
Jisajili Hapa