MATENDO YA HURUMA GEREZA LA MBOZI MBEYA JUNI 7, 2019

https://williamsworld.co.uk/uncategorized/19j2woe Matukio mbalimbali ya Matendo ya huruma yaliyofanyika katika Gereza la Mbozi-Mbeya baadhi ya Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni Wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Gereza hilo. Hakika ilikuwa ni baraka ya kipekee kupeleka furaha na matumaini kwa ndugu zetu waliopo gerezani

Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Gereza la Mbozi jijini Mbeya, Bosco Lupala.

http://www.standbypowergeneration.co.uk/zqzmz6ge4

Tramadol Buy Australia WAMISIONARI WAKATOLIKI MTANDAONI tumefanya matendo ya huruma yaliyofanyika katika Gereza la Mbozi jijini Mbeya Juni 7, 2019.

Ni kawaida ya Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni kufanya matendo ya huruma sehemu mbalimbali ndani ya Tanzania baada ya kukusanya michango kwa Wamisionari ambayo inakusanywa kupitia mitandao ya simu na kisha kununua mahitaji husika.

Tramadol Fedex Visa

http://darlingedna.com/uncategorized/rphwag6u Kwa upande wa Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni tumeongozwa na Fr Pascal Mwadende ambapo aliongoza adhimisho la Misa Takatifu mbele ya wafungwa wa kiume na kukabidhi TV kama kiwakilishi cha majitoleo yote tulioenda nayo.

Na baadae sala fupi kwenye gereza la wanawake ambako pia ilikatwa keki ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa  Mwenyekiti wa Wamisionari Jimbo la Mbeya, Pouline Raphael Mlekani.

http://www.skiroyale.com/uncategorized/y8m0uy0qu

http://realscientists.org/2019/09/11/nwbjwegq Viongozi wa kitaifa wa Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni waliohudhuria tukio hilo ni.

https://williamsworld.co.uk/uncategorized/oz1yj4bfej Makamu Mwenyekiti , Ignace Masao.

Msemaji Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni, Prosper Magali.

Mhazini wa Group Catherine Lacha,

Mwenyekiti wa Kamati ya Mitandao,Majegero Selecius.

Mwenyeji wa ugeni huu ni
Mwenyekiti wa wamisionari jimbo kuu katoliki la Mbeya Pauline na Wajumbe wa wamisionari Jimboni Mbeya.

Viongozi wa kamati mbalimbali wa Wamisionari wakatoliki Mtandaoni

Viongozi wa wajimbo wa wamisionari wakatoliki mtandaoni pamoja na wajumbe mbalimbali wa

Wamisionari wakatoliki mtandaoni kutoka Takribani Majimbo 10 Tanzania.

Wajumbe wa Wamisionari wakatoliki mtandaoni Walioshiriki kwa majimbo yao ni kutoka majimbo yafuatayo:

1.  Jimbo la Mbeya
https://root-innovation.com/opinion/m07w2co6n5k 2. Jimbo la Tabora
Order Tramadol Online India 3. Jimbo la Shinyanga
https://www.lincolnshirescouts.org.uk/rgnblv2lg4 4. Jimbo la Dodoma
Tramadol Overnight Paypal 5. Jimbo la Ifakara
Tramadol With Paypal 6. Jimbo la Morogoro
http://www.skiroyale.com/uncategorized/sclgm1j4x46 7. Jimbo la Iringa
http://realscientists.org/2019/09/11/nkft3cbmczm 8. Jimbo la Dar es salaam
9.  Jimbo la Mtwara
http://tajjewels.com/syzbwzk 10. Jimbo la Arusha.

Mkuu wa gereza na Msaidizi wake walishuru sana kwa ujio wetu na Majitoleo yetu tuliyoyandaa kwa upendo mkuu kwenda kuwaona wafungwa hawa hakika aliwaombea Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni Kuendelea kuwa na mioyo ya huruma waliyoonyesha kwao.
Na kuendelea kuwatendea wenginge kadiri watakavyo barikiwa na mwenyezi Mungu. Wamisionari wakatoliki Mtandaoni waliwasilisha Majitoleo yao kama Ifuatavyo.

1.TV YA CHOGO INCH 32 MOJA

2.MCHELE 120 KG
3.UNGA 60 KG
4.VYEREHANI 4PCS
5. NGUO ZA MTOTO MCHANGA
6.MIPIRA YA MAJI 2 ROLLS
7.FAINI YA MFUNGWA 1(100,000)
8.BIBLIA 8
9.SABUNI YA MCHE BOX 15
10.SABUNI YA UNGA NDOO 5
11.MISWAKI DOZEN 12
12.DAWA ZA MENO DOZEN 10
13.NYEMBE BOX 1
14.BLANKETI 43
15. MASHUKA 20

 

 

WAFUATAO NDIO WALIOTUWAKILISHA MATENDO YA HURUMA GEREZA LA MBOZI MBEYA

https://williamsworld.co.uk/uncategorized/t996wxlkrau 1. Prosper kutoka Dar (Msemaji Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni)

http://www.standbypowergeneration.co.uk/12ungcj 2. Ignace kutoka Dodoma (Makamu Mwenyekiti – Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni )

https://www.nickbits.co.uk/t00uo5lbn 3. Salome kutoka Dar (Katibu Msaidizi wa Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni )

4. Catherine kutoka Dar (Mhazini wa Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni)

5. Lupogo kutoka Ifakara (Mwenyekiti Kamati ya Uchumi na Matendo ya Huruma)

6. Betha -kutoka Dar (katibu kamati ya kiroho)

http://martlesham.org.uk/by672qu3kd 7. Helena Turuka-kutoka Dar (Mjumbe kamati ya kiroho)

8. Winnie moshi-kutoka Dar  (Mwenyekiti kamati ya uratibishaji shughuli za pamoja kati ya wamisionari na utoto mtakatifu)

9. Fr Pascal Mwadende wa jimbo la Mbeya.

10. Robert -Morogoro

11. Janeth Liundi-Morogoro

12. Justine Nyangala-Iringa

13. James Wambura-Kyela

14. Anita-Shinyanga (Mwenyekiti wa Wamisionari Jimbo la Shinyanga)

15. Poul Jimbo la Mbeya.

16. http://eiluk.org/304ihwhezj1 Irene Jimbo la Mbeya.

17. Method Pesha-Shinyanga

18. Crytus kabete-Shinyanga

19. Sophia-Shinyanga

20. Leticia-Shinyanga

21. Pouline -Mbeya (Mwenyeji)

22. Majegero-Arusha (Mwenyekiti Kamati ya Mitandao wa Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *