Vituo Tulivyofanya Matendo ya Huruma

Tunafanya matendo ya huruma kwa Vijana kote Tanzania kutoa michango yao ambayo inakusanywa kupitia mitandao ya simu na kisha kununua mahitaji husika. Toka tumeanza utaratibu huu mwaka 2012, tumeshafanya Matendo ya Huruma kwenye vituo vifuatavyo;

https://www.lincolnshirescouts.org.uk/pxxk3otb3
 • Kituo cha Watoto Yatima cha Mburahati Charity Centre, Jimbo Kuu Katoliki, Dar es Salaam (Januari 2012)
 • Hospitali ya Saratani ya Ocean Road, Dar es Salaam (Mei 2012)
 • Kituo cha Kulelea watoto Yatima cha Camp Joshua, Arusha (Januari 2013)
 • Kituo cha Kulelea Watoto walemavu na wenye Mtindio wa Ubongo cha Amani, Jimbo Katoliki la Morogoro (Aprili 2013)
 • Kituo cha watoto walemavu wa akili cha Miyuji Cheshire Home, Jimbo Katoliki la Dodoma (Januari 2014)
 • Kituo cha watoto yatima cha Nyumba ya Furaha (Cassa dell Gioia), Jimbo Katoliki la Tanga (June 2014)
 • Watoto Wagonjwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam (December 2014)
 • Kituo cha Kulea Wazee cha Welezo, Jimbo Katoliki Zanzibar (Aprili 2015)
 • Kituo cha Kulea Watoto Yatima cha Karibu Nyumbani, Kibaha, Jimbo Katoliki la Dar es Salaam (Januari 2016)
 • Kituo cha Kulea Watoto wenye Mtindio wa Ubongo cha Bethlehem Centre, Jimbo Katoliki la Ifakara (Aprili 2016)
 • Kuchangia Ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Katembo, Ikwiriri, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam (Februari 2017)
 • Kuchangia Uchimbaji na Ujenzi wa Kisima cha Maji Safi kwenye Mahabusu ya Watoto Upanga Dar es Salaam (June 2017)

https://www.lincolnshirescouts.org.uk/qlurq0hcjc NB: Mpaka sasa tumeweza kukusanya jumla ya mahitaji na michango ya Zaidi ya sh 20m.

http://www.standbypowergeneration.co.uk/x21bjn4fcul

https://www.nickbits.co.uk/y8edwdc