Historia Yetu

Kundi la Wamisionari Wakatoliki Mtandaoni lilianzishwa mwaka 2010 wakati huo likiitwa Vijana Wakatoliki Tanzania, baada ya viongozi wa Vijana wa Parokia ya Familia Takatifu Njiro Jimbo kuu la Arusha kupata wazo la kuunganisha vijana wote Wakatoliki wa Tanzania kupitia Mtandao wa Facebook.

Jinsi ya Kujiunga Nasi

Kijana yeyote Mkatoliki anapokelewa kujiunga na kundi. Awe na utambulisho wa ushiriki wake katika shughuli za kanisa, kwa maana ya Jumuiya, Parokia na Jimbo analosali na kutoa/kupata huduma, Awe tayari kukubali kujifunza na kufundisha wengine...

Matendo ya Huruma

Tumejiwekea utaratibu wa kufanya matendo ya huruma mara mbili kila mwaka; wakati wa Pasaka na wakati wa Noeli. Tunafanya matendo ya huruma kwa Vijana kote Tanzania kutoa michango yao ambayo inakusanywa kupitia mitandao ya simu na kisha kununua mahitaji husika. Toka tumeanza utaratibu huu...

Habari Mpya